Somo hili ni muhimu sana ukizingatia kipindi hiki ambacho
rasilimali ardhi imekuwa adimu sana na ghari mno hivyo unyang’anyi na wizi
katika ardhi umekuwa ni wa hali ya juu.
HATIMILIKI ni hati
inayompa mtu haki ya kisheria ya kumiliki ardhi kwa kipindi maalumu.
PITA NAMI SASA KATIKA MADA YETU YA LEO:
1⃣ Ukaguzi wa eneo lako husika.
➡Ili kujua eneo lako limepangwa kwa ajili
ya matumizi gani, Hapa atashirikishwa mpima ardhi kwa ajili ya kufanya utambuzi
wa eneo husika kujua lipo kwa ajili ya matumizi gani, Hivyo ni lazima afike
site kwako na kifaa (Handheld GPS), Achukue vipimo kuzunguka eneo lako, Baada
ya hapo akatafute taarifa za eneo lako halmashaur/ wizaran ili aweze kupata
raman ya mipango miji.
2⃣ Matokeo ya zoezi la ukaguzi wa
eneo,
➡ Eneo husika kukosa sifa za kupimika,
➡ Eneo husika kukosa sifa za kupimika,
eneo
husika linaweza kukosa sifa za kupimika endapo eneo hilo kuwa limeandaliwa
matumizi ya kijamii (halina mchoro wa mipango miji) mfano makabuli, barabara,
soko n.k
➡ Eneo
husika kuwa na sifa ya kupimika,
Eneo husika kuwa katika matumizi ambayo mtu binafsi anaweza kumili mfano makazi, hotel, biashara n.k
Eneo husika kuwa katika matumizi ambayo mtu binafsi anaweza kumili mfano makazi, hotel, biashara n.k
3⃣ Kibali cha upimaji,
Mteja au mmiliki halali wa eneo husika inabidi aandae barua kwa ajili ya kuomba kupimiwa eneo lake, Barua hiyo itapita serikali ya mtaa na halmashauri husika.
Mteja au mmiliki halali wa eneo husika inabidi aandae barua kwa ajili ya kuomba kupimiwa eneo lake, Barua hiyo itapita serikali ya mtaa na halmashauri husika.
mfano wa barua
4⃣.Upimaji,
Hapa ni suala la kitaaluma zaidi ambapo mtaalam ataweka mipaka katika eneo lako kwa kutumia mawe (beacons), litaandaliwa file kwa ajili ya kwenda wizaran likiambatanishwa na ramani ya upimaji. Na mwishowe utarudishiwa ramani iliyo hakikiwa toka wizarani kama ramani ya upimaji.

5⃣ Mteja utakabiziwa ramani ya
upimaji,
ambayo utapaswa uende nayo kwenye halmashaur husika umuone afisa ardhi ili aweze kukuandalia hati miliki yako.
ambayo utapaswa uende nayo kwenye halmashaur husika umuone afisa ardhi ili aweze kukuandalia hati miliki yako.

Mpaka hapo ndugu msomaji utakuwa una miliki eneo lako husika na hapo hakuna yeyote atakaeweza kukusumbua .
v Ni
matumaini yangu utakuwa umepata picha juu ya HATIMILIKI na endapo kuna swali
usisite kuwasiliana nasi.Karibu sana!!

0 comments:
Post a Comment