• Gharama za Kushughulikia kupata HatiMiliki ya Kiwanja au Nyumba yako

    Image result for gharama za kupata hatimiliki
    Kama unataka kupata hati ya nyumba yako ambayo ipo katika maeneo ambayao hayajapimwa, kitaalamu tunayaita "maeneo ya mazagazaga" ama slums na siyo squatter kama watu wengi wanavyosema.

    Mambo ya msingi ili upate hati ni kama ifuatavyo:-
    1.Eneo lako inatakiwa liandaliwe TP drawing "Town Planning drawing" =1,200,00
    2.Lipimwe "surveyed" =2,000,000
    3.ulipie gharama zifuatazo
    - Fees for preparation of certificate of occupancy =10,000
    - Registration fees =5000
    - Stamp duty =3000

    Baada ya hapo unatakiwa uwe na nyaraka zifuatazo ambazo manispaa yako watakupatia wakati wa kukumilikisha kiwanja
    -Land form No. 19 inalipiwa 5000
    -Barua inayoelezea historia ya kiwanja
    -Acknowledgement letter kwa ajili ya malipo ya serikali uliyolipia
    -Cheti cha kuzaliwa au kitambulisho cha uraia

    Ukikamilisha mambo hayo afisa ardhi mteule wa manispaa yako ataandaa rasimu ya hati na kuiwasilisha kwa kamishna, kamishna ataisaini na hatimae atagonga mhuri wa moto kama ipo sahihi, then itawasilishwa kwa msajili kwa ajili ya kuisajili hiyo hati 

    Kama bado una shida yoyote katika maelezo yangu hapo juuu usisite kuuliza katika uwanja wa comment apo chini au nifikie kupitia njia zangu za mawasiliano .


    AHSANTE SANA!!

  • 0 comments:

    Post a Comment

    HAVE YOU RECOMMENDED TO USE GREAT PERSON?

    Yes, now here you are at the right place.Meet with innovative,creative and multi-purpose engineer.

    ADDRESS

    P.o.Box 5848,Tanga,
    TANZANIA

    EMAIL

    omarisaidi77@gmail.com

    TELEPHONE

    +25527 2646279

    MOBILE

    +255753629218
    +255689636501
    +255657781613