• Pata ramani za nyumba za kisasa na fasheni ya peke yako

    Design with AutoCad
     Manyanya Engineering, Tunachora ramani za nyumba aina zote kwa matumizi mbalimabali kama :-
    1. Makazi (residential house)
    2. Biashara(commercial buildings)
    3. Kumbi
    4. Taasisi
    5. N.k,


    Tunatoa huduma ya ushauri wa kitaalam kipindi cha ku-design il tuweze kukuchorea ramani itakayoendana na :

    1. mazingira husika
    2. wakati na ubora wa nyumba kwa matumizi husika
    3. mpangilio wa vyumba ili kila kitakachowekwa katika ujenzi kiwe na faida kwa mtumiaj
    Tukichora tutahusika moja kwa moja kufatilia ujenzi ili kuhakikisha lengo la mteja wetu la kujenga alichokuwa anakiwaza kinafikiwa.Ikiwa lengo letu kubwa ni kuhakikisha tunasimamia ubora zaidi,kujenga kwa gharama stahiki zaidi na kwa mda mchache

    Karibu sasa!!!
    Tupo kwaajili yako,
    1. Tutakusikiliza kile unachokiwaza nasi tutakiwakilisha kwa kukiweka kwenye macho yako(Internal=External)
    2. Kwa kuhakikisha unabaki juu kila siku ,tutakuletea material ya kisasa ,bei nafuu na yenye ubora pamoja na upatikanaji
    Wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi



  • 0 comments:

    Post a Comment

    HAVE YOU RECOMMENDED TO USE GREAT PERSON?

    Yes, now here you are at the right place.Meet with innovative,creative and multi-purpose engineer.

    ADDRESS

    P.o.Box 5848,Tanga,
    TANZANIA

    EMAIL

    omarisaidi77@gmail.com

    TELEPHONE

    +25527 2646279

    MOBILE

    +255753629218
    +255689636501
    +255657781613