• Miliki Nyumba yako sasa kwa kufata hatua hizi..

    Kujenga Nyumba ya vyumba vinne kuanzia msingi mpaka Kufikia kwenye linta haizidi 7M kama eneo ni zuri. Kuezeka hadi finishing inategemea umechagua materials gani lakini ukifata ushauri vizuri wa wataalam haizidi 10M.
    Kuna watu wamejenga kwa gharama kubwa mno sababu ya kushindwa kuwatumia wataalam kuwashauri kama kujua namna ya kununua materials kwa bei nafuu n.k ....
    Mtu unashinda baa kila kitu unamuachia fundi na pesa unarusha tu kwa tigopesa halafu unaishia kutisha wengine waone Ujenzi ni very expensive.
    "Manyanya Group NiKampuni kubwa iliyo na wataalam wengi wenye weledi na uzoefu wa ujenzi hapa Tanzania.
    TUPIGIE SASA KUPITIA 0753629218 
  • 0 comments:

    Post a Comment

    HAVE YOU RECOMMENDED TO USE GREAT PERSON?

    Yes, now here you are at the right place.Meet with innovative,creative and multi-purpose engineer.

    ADDRESS

    P.o.Box 5848,Tanga,
    TANZANIA

    EMAIL

    omarisaidi77@gmail.com

    TELEPHONE

    +25527 2646279

    MOBILE

    +255753629218
    +255689636501
    +255657781613